Makala haya ya Muziki Ijumaa Juma hili muandishi wetu Ali Bilali anazungumza na msanii wa Bongo Fleva Baba Levo aliye tamba na kibao chake Vuvuzela na ambaye kwa sasa ameachia ngoma yake mpya"Sherehe' ...
Mwanamuziki wa Bongo Fleva Samata A, kwa mara nyingine tena, ametembelea studio za RFI Kiswahili Dar Es Salaam kuzungumzia kuhusu video yake mpya ya wimbo Tufyu, lakini pia audio ya wimbo wake Totoro, ...
Muziki wa kizazi kipya nchini Tanzania umeanza kujitengenezea njia mpya kwenye soko la muziki. Hatua hiyo ni baada ya wasanii wengi wa muziki huo kuanza kutumia ala za muziki wakiwa majukwaani na ...