MWANAMUZIKI wa Bongo Fleva, Vanillah amepata shavu katika Kampuni ya kimataifa ya Apple Music ambapo ameingia katika mpango wao wa kushirikishwa na wasanii wengi wa kimataifa akiwamo Burna Boy ...
STAA wa muziki wa Bongo Fleva, Vanillah ameishukuru Kampuni ya kimataifa ya Apple Music kumweka katika orodha ya nyimbo 'playlist' ya pamoja na mastaa wakubwa ulimwenguni.
Pokea Vanillah Music ni miongoni mwa watunzi wa nyimbo na sasa kageukia uimbaji wa muziki wa kizazi kipya, kibao " Unanisitiri " ni miongoni mwa vibao pendwa. Kukipata kibao hiki kwa undani zaidi, ...